Jina la Mtume wa Uislamu, Muhammad (SAW) ndilo jina mashuhuri zaidi duniani.
Hayo ni kwa mujibu wa uchunguzi wa gazeti la kila siku la Uhispania la ABC ambalo limeandika kuwa watu milioni 150 kote duniani wanatumia jina 'Muhammad.'
Habari ID: 1314890 Tarehe ya kuchapishwa : 2013/11/10